Waziri afukuza wafanyakazi wote mkoani Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi William Lukuvi, Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi William Lukuvi, ameagiza kuhamishwa watumishi wote wa Sekta ya ardhi katika mkoa mzima wa Morogoro sambamba na kuanzishwa ofisi ya Ardhi Kanda ya Mashariki katika mkoa huo. Read more about Waziri afukuza wafanyakazi wote mkoani