Rekodi za Samatta zilizoipa ubingwa Genk

Genk, mabingwa wa Ligi ya Ubelgiji 2018/19

Sasa hivi ni furaha kubwa kwa mashabiki wa klabu ya KRC Genk, baada ya usiku wa jana kutawazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu nchini Ubelgiji maarufu kama 'Jupiter Pro League' msimu 2018/19.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS