Manfongo avunja ukimya skendo ya kufungwa miaka 30 Msanii Man Fongo Msanii wa Kisingeli Manfongo, amevunja ukimya na kuzungumza na eNewz na kusema kuwa yeye hajahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela. Read more about Manfongo avunja ukimya skendo ya kufungwa miaka 30