Mbunge aomba kura kwa kutumia tovuti ya 'ngono' Joachim B. Olsen. Mbunge mmoja nchini Denmark Joachim B. Olsen ameamua kuweka tangazo la kampeni yake ya kuchaguliwa tena kuwa Mbunge nchini humo kwenye tovuti ya video za ngono. Read more about Mbunge aomba kura kwa kutumia tovuti ya 'ngono'