Uhamiaji yaripoti wahanga wa rushwa kwa RC
Jeshi la uhamiaji mkoa wa Arusha limetoa tathmini ya wahalifu na wahamiaji haramu kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka huu, huku ikionesha kupungua kwa vitendo hivyo na uingiaji holela katika maeneo ya mipaka ya nchi kupitia mkoa huo.