Serikali yatoa tamko wanaoishi karibu na Jeshi Serikali imeliambia bunge kuwa wanaendelea kuwalipa fidia stahiki wananchi ambao maeneo yao yametwaliwa na jeshi kwa ajili ya utekelezaji wa jukumu la ulinzi wa nchi. Read more about Serikali yatoa tamko wanaoishi karibu na Jeshi