''Nafuatwa na wanaume 500 kwa siku'' - Miss Bella Miss Bella. Msanii wa Bongo Fleva Isabela Mpanda ‘Miss Bella’ amesema kuwa hutongozwa na wanaume ambao idadi yao inaweza kufikia 500 kwa siku na haoni ajabu kwake kama mwanamke. Read more about ''Nafuatwa na wanaume 500 kwa siku'' - Miss Bella