Wema ashindwa kufika mahakamani kisa ugonjwa

Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu,

Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu, ameshindwa kufika mahakamani kwa ajili ya kuhudhuria kesi inayomkabili ya kusambaza picha za ngono kupitia mitandao ya kijamii ambapo wakili wake ameeleza kuwa mshtakiwa huyo ni mgonjwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS