Walio kwenye hatari ya mabusha wapata dawa
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kutokomeza magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele (Neglected Tropical Diseases - NTDs) ikiwemo kufanya usambazaji wa dawa aina ya 'Mectzan' kwa wananchi walio kwenye hatari ya kupata maambukizi ya ugonjwa wa matende na