Lil Uzi Vert na kesi ya unyanyasaji wa kingono

Rapa maarufu wa Marekani Lil Uzi Vert ameshtakiwa na aliyekuwa msaidizi wake binafsi, ambaye anadai alipata msongo wa mawazo na mateso ya kihisia alipokuwa akifanya kazi na msanii huyo katika moja ya ziara zake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS