Mbunge Bwege kuchangiwa figo na mtoto wake
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini Seleman Bungara (Bwege) ambaye hivi karibuni alifanya mahojiano na #EastAfricaRadio na kueleza hali yake kiafya hususani changamoto yake ya figo amesema kuwa mtoto wake wa kiume amekubali kumchangia figo moja na tayari ameanza vipimo vya awali kufaniki