Marufuku kupiga baruti bila kibali - Polisi Jeshi la Polisi Mkoani Songwe limepiga marufuku kupiga fataki bila Kibali katika msimu wa sikukuu za Christimas na Mwakampya. Read more about Marufuku kupiga baruti bila kibali - Polisi