Uchambuzi kuelekea mchezo wa Man United na Arsenal
Nembo ya Manchester United na Arsenal
Leo usiku majira ya saa 5:00 kutakuwa na mchezo wa kihistoria baina ya vigogo wawili wa ligi kuu nchini Uingereza, Man United na Arsenal, mchezo utakaopiogwa katika dimba la Old Trafford.