Baadhi ya wavuvi wakitumia mbinu ya uvuvi haramu (kushoto), kulia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe Abdallah Ulega.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amesema operesheni za kudhibiti uvuvi haramu hapa nchini, zimeiwezesha serikali kuu kupata mrabaha wa Shilingi Bilioni 2.2.