Tyson Fury na Deontay Wilder hakuna mbabe Tyson Fury (kushoto) na Deontay Wilder (kulia) Pambano la kimataifa la uzito wa juu kuwania mkanda wa Dunia wa WBC kati ya mwanamasumbwi wa Uingereza Tyson Fury na Mmarekani, Deontay Wilder umemalizika asubuhi ya leo kwa sare. Read more about Tyson Fury na Deontay Wilder hakuna mbabe