Alliance FC yatambulisha kocha mpya

Viongozi wa Alliance wakimtambulisha kocha mkuu, Malale Hamsini

Klabu ya Alliance ya mkoani Mwanza imemtambulisha kocha mpya pamoja na wasidizi wake, ikiwa ni wiki kadhaa baada ya aliyekuwa kocha wake mkuu, Papii Kailanga kuachana na klabu hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS