Serikali yaja na mfumo mpya wa kuomba vibali

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua huduma za viza na vibali vya ukaazi vya kielektroniki na kuwataka watu wote watakaopewa vibali hivyo kutii sheria kwa kufanya shughuli ambazo wameelekezwa kwa mujibu wa vibali vyao na si vinginevyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS