Kauli ya mauaji, yaanza kumpelekesha Zitto Kabwe
Kesi ya Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe dhidi ya Jamhuri ya ambayo anayeshtakiwa kwa makosa matatu likiwemo la uchochezi na kutoa taarifa za uongo kuhusu mauaji ya polisi na raia wilayani Uvinza mkoani Kigoma inatarajiwa kusikilziwa leo Jumatatu Novemba 26.