Waliokufa ziwa Victoria walikuwa wanakula bata
Imebainika kwamba watu waliokuwa kwenye boti ambayo ilizama ziwa Victoria nchini Uganda na kusababisha idadi ya vifo 31 mpaka sasa, walikuwa wakila bata hali iliyopelekea kutokumbuka usalama wa maisha yao.