Hatma ya Mbunge CUF baada ya kukamatwa na polisi

Mbunge wa Kilwa Kusini Suleiman Bungara "Bwege"

Uongozi wa Chama Cha Wanchi CUF unaoungwa mkono na Upande wa Katibu Mkuu wa Chama hicho umeendelea na harakati za kuhakikisha Mahakama inawapatia dhamana makada wake akiwemmo Mbunge wa Kilwa Kusini, Suleiman Bungara pamoja na Naibu Mkurugenzi wa Habari, Mbarara Maharagande.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS