Linah abananishwa, ajibu tuhuma zake

Msanii wa Bongo Fleva, Linah na mpenzi wake, Shaban mchomvu

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Linah Sanga, amegoma kuzungumzia taarifa za kuachana na baba watoto wake na kuwataka mashabiki wake wafuatilie muziki wake tu na sio maisha yake binafsi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS