Mchungaji afunga na kumuombea Wema Sepetu

Wema Sepetu na Mchungaji Komando Mashimo

Mchungaji wa kanisa la Huduma ya Injili, Komando Mashimo amejitokesa na kusema yupo kwenye maombi ya kufunga akimwombea mwigizaji Wema Sepetu ili aipatwe na matatizo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS