Uteuzi wa Waziri Mkuu kuthibitishwa Novemba 13
Bunge la 13 limeanza jana Jumanne, tarehe 11 Novemba 2025, likianza na uchaguzi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kisha kiapo cha uaminifu na ahadi ya uzalendo kwa wabunge wateule, zoezi ambalo limehitimishwa siku ya leo.

