76 waokolewa na Jeshi kutoka kwa watekaji Nigeria
Operesheni hiyoya Jumamosi Agosti 23, 2025 ilikuwa sehemu ya msako wa kiongozi wa genge anayejulikana kama Babaro, ambaye amehusishwa na shambulio la wiki iliyopita kwenye msikiti mmoja katika mkoa huo.