Dereva ashikiliwa baada ya kutelekeza abiria
Uamuzi huo umefuatia malalamiko ya abiria waliokuwa wanasafiri na basi hilo kukwama tangu jana Disemba 29 majira ya saa kumi jioni katika eneo la njia Panda ya Himo wilaya Moshi mkoani Kilimanjaro baada ya gari hilo kuharibika.

