Zelensky kukutana tena na Trump leo Jumapili Rais wa Ukraine na ujumbe wake wamewasili Florida jana Jumamosi, hii ni kwa mujibu wa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine Serhiy Kyslytsya katika chapisho lake kwenye mtandao wa X. Read more about Zelensky kukutana tena na Trump leo Jumapili