"Siagizwi na kila mtu" - Dkt Kigwangalla
Naibu Waziri wa Afya, Hamisi Kigwangalla amefunguka na kusema haagizwi na kila mtu kwa kuwa ni kiongozi bali wenye mamlaka ya kufanya hivyo ni wananchi wake wa Nzega vijijini pamoja na maagizo anayoyapata kutoka Rais wa nchi.