Bi. Hindu afariki dunia Mbunge mteuliwa wa chama cha wananchi (CUF), Bi Hindu Mwenda amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu. Read more about Bi. Hindu afariki dunia