Chid Benz kumleta Tupac bongo Chidi Benz azua jipya mjini, adai 2Pac yuko hai na anaishi nchini Cuba, na wanaongea kila siku na tayari ameshafanya naye ngoma itakayotoka hivi karibuni. Read more about Chid Benz kumleta Tupac bongo