Msuva akwama Kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva ambaye anayechezea klabu ya Difaa El Jadida ya nchi ya Morocco ameshindwa kujiunga na kikosi cha Taifa Stars baada ya kutokuwa na kibali kinachomruhusu kutoka nchini Morrocco Read more about Msuva akwama