Polisi aua mtu kwa risasi Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la William Kimani Mwangi (32 )ameuawa kwa kupigwa risasi na askari polisi nchini Kenya, baada ya kuibuka kwa ugomvi baina yao wakiwa bar. Read more about Polisi aua mtu kwa risasi