Kiba apata ujiko Serikalini Alikiba Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Hapi baada ya kusikiliza wimbo mpya wa msanii wa bongo fleva King Kibaa 'Alikiba', ameahidi kumpatia zawadi msanii huyo kwa kile alichodai kazi imekwenda shule. Read more about Kiba apata ujiko Serikalini