"Bomoa bomoa imekuwa ya kisiasa"- Meya Jacob

Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob.

Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob amefunguka na kudai suala la bomoa bomoa kwa watu waishio maeneo ya Jiji la Dar es Salaam limekuwa la kisiasa zaidi na kuhusisha chama kimoja pekee.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS