Mapenz* yamng'oa jino Wolper Msanii wa filamu za bongo ambaye mara nyingi husemwa vibaya kutokana na pengo lake la pembeni, amefunguka na kusema pengo hilo aliliweka makusudi ili kumridhisha aliyekuwa mpenzi wake. Read more about Mapenz* yamng'oa jino Wolper