Majaliwa ataka ubunifu kutangaza utalii Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Kassim ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kutafuta mbinu bora za kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo nchini ili kukuza sekta hiyo. Read more about Majaliwa ataka ubunifu kutangaza utalii