"Lissu atishiwa Kifo" - Katambi
Baraza la Vijana Chadema limedai Serikali inahatarisha maisha ya Mwanasheria wa Chadema, Mh. Tundu Lissu kwa kudai kuwa kiongozi huyo ni adui wa nchi na Mhujumu wa nchi imesababisha kupata tishio la uhai wa maisha yake.