IGP Sirro afanya mabadiliko ya Jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Nyakoro Sirro amefanya mabadiliko katika Jeshi la Polisi kwa kuwabadilisha baadhi ya viongozi wa jeshi hilo kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine huku wengine kupandishwa vyeo vyao.