Laporta ambakisha Hans Flick Barca hadi 2028

Kocha wa Barcelona Hans Flick na Rais Joan Laporta

Kocha wa Barcelona Hans Flick amekamilisha mazungumzo yake na FC Barcelona ili kuongeza mkataba wake kwa msimu mwingine, na kumfanya kusadia klabuni hapo hadi Juni 2028. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS