Maabara ya kisasa Afrika kujengwa Tanzania

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara ya Teknolojia ya Nyuklia kwenye Tume ya Nguvu za Atomiki nchini (TAEC) Arusha, maaabara ambayo inatarajiwa kuwa ya kisasa kwa vifaa Afrika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS