Siwezi kumuacha Ray - Johari Msanii nguli wa filamu ambaye amekuwa kimya kwa muda mrefu Bi. Blandina Chagula, ameweka wazi mahusiano yake na muigizaji mwenzake Vicent Kigosi, ambaye wanamiliki kampuni moja ya filamu. Read more about Siwezi kumuacha Ray - Johari