Mwingine Tume ya Uchaguzi auawa
Jeshi la Polisi Kauti ya Siaya nchini Kenya limeutaka umma kuacha polisi kufanya kazi yao juu ya uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa msimamizi msaidizi katika uchaguzi mkuu wa Kenya uliofanyika Agosti 8 baada ya mwili wake kukutwa akiwa ameshafariki.