FURAHA YA USHINDI

Wachezaji wa Mchenga B Ball Stars wakifurahi kwa pamoja baada ya ushindi wao wa pointi 87-82 dhidi ya TMT, mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa Fainali (Game 3) za #SpriteBBallKings kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS