Azam FC yapata ahueni! Uongozi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC kupitia Afisa habari wao Jaffery Iddy Maganga amesema wameshamalizana na Kagera Sugar kuhusiana na sakata la Mbaraka Yusuph na sasa yupo huru kuitumikia Azam FC. Read more about Azam FC yapata ahueni!