"Rais apongezwe anapofanya jema" - Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amewataka watu wanaosimamia usalama wa nchi wawe makini kwa kile wanachokilinda lasivyo watajikuta wanaiteketeza nchi bila ya wao wenyewe kujijua. Read more about "Rais apongezwe anapofanya jema" - Mbowe