Watoto wa Lucky Vicent vilio upyaaa...!!

Watoto Doreen, Sadia na WIlson wakiwa na wazazi wao.

Wazazi, watoto na watu mbali mbali wameshindwa kujizuia na kumwaga chozi walipokuwa wakiwapokea watoto Sadia Ismail, Doreen Eribariki na Wilson Tarimo, ambao wamerejea rasmi nchini wakitokea nchini Marekani walikokuwa wakipatiwa matibabu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS