Polisi kutumia bodaboda kusaka wahalifu Madereva pikipiki 'bodaboda' wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kufichua vijana wanaojishughulisha na shughuli za uhalifu kwa kutumia kivuli cha bodaboda ili kuondokana na na vitendo vya uhalifu. Read more about Polisi kutumia bodaboda kusaka wahalifu