Huu ndiyo ushindani tuliyokuwa tunautaka- Manaseh
Kamishna Ufundi na Mipango ya Shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini Tanzania (TBF), Manaseh Zabron amefunguka na kudai upinzani uliyoonyeshwa na timu ya Mchenga BBall Stars na TMT katika game 2 fainali za Sprite BBall Kings ndivyo inastahili kuwepo.