Dully Sykes ateswa Msanii Dully Sykes Kitendo cha wivu kimeonekana kuwa changamoto kubwa kwa msanii Dully Sykes, na kusema kuwa hawezi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambaye ni maarufu, kwani anajua madhara yake. Read more about Dully Sykes ateswa