Rugemalira na Habinder 'msoto' wapamba moto
Kesi iliyokuwa inawakabili Mkurugenzi wa kampuni ya VIP Engeneering na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira na Habinder Seth Sigh, imehairishwa mpaka Agosti 31 mwaka huu kutokana na upelelezi kutokamilika.