Wasanii wanajiuza - Nikki wa Pili
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nikki wa Pili, amesema sababu ya kuiponda tasnia ya filamu ya bongo kuwa hawafanyi vizuri, ni kwamba wasanii wa tasnia hiyo wanaangalia zaidi kuuza majina yao bila kubeba maudhui ya filamu.